Month: June 2024
Benki ya TCB yatangaza faida ya bilioni 19.27/-
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022…
RC Kunenge aipongeza Mafia kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Mafia Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi. Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani…
CTI yasema bajeti itasisimua ukuaji wa viwanda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI), limepongeza bajeti kuu ya serikali kwa kuweka mambo muhimu ambayo yatachochea ukuaji wa viwanda nchini. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa shirikisho hilo,…
Justin Nyari ampongeza RC Sendiga kutembelea kituo cha watoto yatima Mirerani
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji madini Mkoa wa Manyara, (Marema) Justin Nyari amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga kwa kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kwa kutembelea kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu…
Rais Samia : Vyombo vya habari si mshindani wa Serikali
Rais Samia amevitaka vyombo vya habari kuhamasisha kupokea ujuzi mpya, taarifa zamaendeleo ya kiteknolojia katika sekta za uzalishaji na maendeleo ya jamii, vifichue maovu na kutowajibika kunakofanywa naWatumishi na Watendaji wa Serikali, vinatoa mrejesho wa hisia na mtazamo wa wananchi…