JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

RC Chalamila : Siwaogopi waganga wa kienyeji, nitawasafisha Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Albert Chalamila amesema hivi karibu wataanza oparesheni maalum inayolenga waganga wa kienyeji wanaofanya ramli chonganishi. Amesema hayo leo Dar es Salaam wakati wa kilele cha…

Wadau SHYCOM kuunga juhudi za Serikali katika kuinua elimu kupitia michezo

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuinua kiwango cha Elimu nchini,Umoja wa wanafunzi waliosoma Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM) umezindua Mbio za Shycom Alumni Marathon zitakazo jumuisha kilometa 5, 10 na 21 ambazo zitaenda kufanyika…

Adhabu mbadala kupunguza msongamano gerezanI

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Manyara Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema Serikali imefanikiwa kupunguza msongamano katika Magereza mbalimbali nchini mara baada ya kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa wanaotumikia adhabu za nje ya Magereza ambapo takriban wafungwa 2000…

Balozi Kasike akutana na Mhandisi Matindi, Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL

Leo tarehe 20 Juni 2024, Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Shirika hilo (ATC House) zilizopo…

Bodi ya TANESCO yafurahishwa na kupongeza maendeleo ya mradi wa Julius Nyerere

Na Charles Kombe, JamhuriMedia, Rufiji Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imefurahishwa na kupongeza wasimamizi wa mradi juu ya hatua za ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP). Hayo yamebainishwa na Makamu…

INEC yawataka watendaji wa uboreshaji Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutunza vifaa

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Kigoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika maeneo mengine nchini. Hayo yamesemwa na…