JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Serikali kuchukua hatua kali kwa wanaoiba mara baada ya jali

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuiba mali baada ya ajali kutokea. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga (CCM) aliyeuliza swali kwa…

Pitin : Kosa kubwa’ kwa Korea Kusini kuipa Ukraine silaha

Vladimir Putin ameionya Korea Kusini itakuwa ikifanya ‘kosa kubwa’ ikiwa itaipatia Ukraine silaha katika vita dhidi ya Urusi. Maoni yake yanakuja baada ya Seoul kusema inazingatia uwezekano huo, kujibu makubaliano mapya ya Urusi na Korea Kaskazini kusaidiana iwapo kuna “uchokozi”…

Israel-Hezbollah waongeza hofu ya kutanuka vita vya Gaza

Hofu juu ya vita imeongezeka baada ya Kundi la Hezbollah kusema kwamba hakuna sehemu ya Israel itakayokuwa salama, ikiwa vita kamili vitazuka. Katika hotuba yake kwa njia ya televisheni, kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema hakuna sehemu ya Israel itakayonusurika…

Uhispania yaipiku Italia kusonga mbele EURO 2024

Uhispania wamefanikiwa kufuzu kwa raundi ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la EURO 2024 baada ya kuwachapa mabingwa watetezi Italia 1-0. Uhispania imefuzu kwa duru ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la…

Ndege zisizo na rubani 114 za Ukraine zimedunguliwa – Urusi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa ndege zisizo na rubani 114 za Ukraine zimedunguliwa katika maeneo tofauti ya Urusi usiku kucha, na boti sita zinazojiendesha ziliharibiwa katika Bahari Nyeusi. Hatahivyo wizara haiandiki chochote kuhusu ndege zisizo na rubani ambazo…

Mmoja afariki, wengine wajeruhiwa katika maandamano Kenya

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya thelathini kujeruhiwa katika maandamano ya Alhamisi yaliyoenea nchini Kenya kupinga mapendekezo ya nyongeza ya ushuru. Madaktari walisema mwathiriwa alivuja damu hadi kufa baada ya kupata jeraha la risasi katika mji mkuu, Nairobi….