JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura lasogezwa hadi Julai 20, 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kusogezwa mbele kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi tarehe 20 Julai, 2024 badala ya tarehe 01 Julai, 2024 iliyopangwa hapo awali….

Serikali yaondoa hofu ya umeme kutofika vitongoji vyote nchini

📌 Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme 📌 Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilosa, Mbinga na Hanang 📌 Vitongoji 33,000 vyafikiwa na huduma ya umeme 📌 Wakandarasi kuendelea kusimamiwa kwa weledi Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati,…

Waziri Kairuki atoa wito kwa nchi wanachama wa Afr100 kuweka mifumo ya ufutiliaji kuokoa misitu iliyoathiriwa

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Waziri wa Maliasili wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa mkakati wa kuokoa ardhi na misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100)…

Serikali ya Tanzania, China zakubaliana kuboresha huduma ya maji mji Dodoma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maji imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Shanxi ya Utafiti wa Madini juu ya kufanya utafiti wa kihaidrojia katika rasilimali maji chini ya ardhi utakaofanyika katika vijiji takribani 10…

NIRC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi yakinifu wa mabwawa sita ya umwagiliaji…

Tabora United yakabidhiwa kitita cha milioni 50

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora   TIMU ya soka ya Tabora United ya Mkoani Tabora imezawadiwa kitita cha sh mil 50 baada ya kufanikiwa kubakia Ligi Kuu ya NBC msimu huu kama motisha kwa wachezaji na walimu wao. Kitita hicho kimekabidhiwa…