Month: June 2024
Jiji la Makonda mshindi wa tatu utoaji taarifa kwa umma
Mkoa wa Arusha umekuwa mshindi wa tatu kwa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini vinavyofanya vizuri katika utoaji wa taarifa kwa umma miongoni mwa mikoa 26 ya Tanzania Bara kwa mwaka 2023/2024. Tuzo hizo zilitangazwa na Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji…
TANESCO yawezesha kuanza kwa ujenzi wa tuta la mto Lumemo
Na Shamu Lameck, JamhuriMedia, Ifakara Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya mto lumemo uliopo kwenye Halmashauri ya mji wa Ifakara mkoani Morogoro. Akizungumza Juni 15,2024 Mkuu wa Wilaya ya Kilombero…