JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Wazazi, walezi Iringa washauriwa kuacha ulevi ili kumlinda mtoto

Wazazi na Walezi wa Kijiji cha Tungamalenga Tarafa ya Idodi Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wametakiwa kuacha tabia ya ulevi na kutotekeleza majukumu yao ya malezi kwa watoto ili kuhakikisha uliinzi na usalama wa watoto wao. Akizungumza kwenye mkutano wa…

Majaliwa : Rais Dk Samia amedhamiria kufikisha maendeleo kwa wote

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha wananchi wote wanapata maendeleo na huduma mbalimbali za msingi kwa wakati na karibu na maeneo yao ya makazi. Maendeleo hayo yatakuwa dhahiri na endelevu endapo…

Milioni 250 zaidhinishwa ujenzi wa daraja la Kiloka wilayani Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Serikali imeshaidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kiloka linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji jirani ambalo lilisombwa na maji ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu nchini. Hayo…

Viongozi Serikali ya Nigeria watembelea JKCI

Na Mwandishi Maalumu – JKCI Viongozi wa Serikali ya Nigeria wametembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa pamoja na kuangalia uwekezaji uliofanywa na Serikali katika matibabu ya kibingwa ya moyo nchini….

TUCTA yaipongeza Serikali kuongeza kiwango cha kikokotoo

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeipongeza Serikali kwa kuongeza kiwango cha malipo ya mkupuo ya Pensheni kwa Wastaafu kutoka asilimia 33 ya sasa mpaka 40 kwa wafanyakazi waliokuwa wanapokea asilimia 50 kabla ya mifuko kuunganishwa na asilimia 35…

Balozi Nchimbi aongoza waombolezaji mazishi ya Tixon Nzunda Songwe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo ameongoza maelfu ya waombolezaji wakiwemo viongozi na wananchi kutoka maeneo mnalimbali nchini, walioshiriki mazishi ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, marehemu Tixon Nzunda, yaliyofanyika huko…