Month: June 2024
Chalamila: Wafanyabiashara Kariakoo epukeni kujihusisha kwenye migomo, Serikali kutatua kero zenu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo mapema leo wŵwni 23,2024 kufuatia uwepo wa taarifa za uvumi wa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo amewataka wafanyabiashara kuepuka kushiriki kwenye masuala…
Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Bandari ya Dar es Salaam imeweka rekodi kwa kupokea meli kubwa ya mizigo yenye urefu wa mita 294.1 tofauti na meli ambazo imewahi kuzipokea hapo awali kwani meli ya mwisho kupokelewa ilikuwa na urefu…
Kampeni chafu yaanzishwa dhidi ya Kidata wa TRA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampeni chafu imeanzishwa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata, na genge la wakwepa kodi ili kujaribu kumchafua Kamishna huyo. Genge hilo limewalipa wahuni…
Mbunge Yustina Rahhi aunga mkono juhudi za Rais Samia kwa kutoa mafunzo ya ujasiriamali Kiteto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Yustina Rahhi ameandaa mafunzo ya ujasiriamali kwa wajengea uwezo akina mama na vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Manyara ili kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kupelekea…
Mzeituni mmea tiba uliotajwa kwenye vitabu vitakatifu
MZEITUNI ni mti unaostawishwa katika mataifa mbalimbali duniani. Pamoja na kupatikana kwenye nchi nyingi, lakini Israel ambayo ni nchi takatifu, ni miongoni mwa mataifa yanayostawisha kwa wingi zaidi mmea huo. Mti huu ni ule uliotajwa mara kadhaa ndani ya vitabu…