Month: June 2024
Afisa mifugo mbaroni kwa kupuuza wajibu wa kazi
Mahakama ya Wilaya Karagwe imemtia hatiani Afisa Mifugo wa Kijiji cha Nyaishozi – Mwenge Datius Mathias. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la kupuuza wajibu wa kikazi kinyume na kifungu cha 123 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu na kupewa adhabu…
CCM yataka Dk Mwinyi aongezewea muda
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk Mohamed Said Dimwa amesema wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu (NEC) CCM Taifa Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu ya NEC kuridhia kumuongezea muda Rais wa…
Msukuma aomba mwongozo wa wafanyabiashara Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma amesimama bungeni leo asubuhi akiomba mwongozo wa Spika kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam ulioanza leo, akisema kuwa watoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ajili ya…
Bendera ya Taifa yapeperushwa vema nchini Rwanda
Na Mwandishi Maaalum Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa…
‘Serikali kuwalinda wafanyabiashara waliofungua maduka Kariakoo’
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Arbert Chalamila amesema Serikali itawalinda wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo waliofungua maduka yao siku ya leo licha kuwepo kwa mgomo. Chalamila ameyasema hayo wakati akizungumza na…
Idadi ya mahujaji waliofariki Saudia yafikia watu 1,301
Mamlaka nchini Saudi Arabia imetangaza kuwa idadi ya mahujaji waliokufa kutokana na joto kali wakati wa Hijjah ya mwaka huu imefika watu 1,300 na kwamba asilimia 83 ya waliokufa walikuwa mahujaji ambao hawakusajiliwa. Miongoni mwa raia wa Misri 658 waliokufa…