Month: June 2024
TANESCO yatangaza kuanza rasmi kwa maboresho ya mfumo wa LUKU mikoa Kanda za Kusini, Nyanda za juu Magharibi
Na Agnes Njaala, JamhuriMedia, Rukwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Kanda ya Kusini na Nyanda za juu Kusini Magharibi. Akitangaza kuanza rasmi…
Matumizi ya kidigital shuleni kusaidia weledi kwa wanafunzi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Sekta ya elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi ili kurahisisha shughuli zake na kuwa na weledi. Hayo yamebainishwa leo Juni…
Nyota yang’ara mchezo wa kuogelea
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar ea Salaam MASHINDANO ya mchezo wa kuogelea kwa vijana yamemalizika hapo juzi kwenye bwawa la kuogelea lililopo katika Shule ya Kimataifa Tanganyika (IST) huku vijana mbalimbali wakichuana vikali. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili mara…
Dk Biteko akutana na wawekezaji wa Modern Industrial Park
📌 Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya…
Vifo vyafikia 19 shambulio la jimbo la Urusi la Dagestan
Idadi ya vifo vilivyotokana na shambulizi la jana Jumapili katika jimbo la Dagestan kusini mwa Urusi imeongezeka na kufikia 19. Kulingana na Kamati ya uchunguzi mapema leo, washambuliaji watano pia waliuawa kwenye shambulizi hilo. Shirika la habari la AFP limeinukuu…