JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Rais wa Msumbiji kufanya ziara ya siku nne Tanzania, kufungua maonyesho Sabasaba

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kupokea ugeni wa Rais wa Msumbiji Philip Jacinto Nyusi ambaye atawasili kwa ziara yake ya siku nne kuanzia Julai 1hadi 4 ,2024 na ndiye mgeni rasmi atakayefungua maonyesho ya 48 ya biashara…

Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na CCM; Chadema wapata pigo zito

Na Mwandishi wetu -Jamuhuri Media Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM Mchungaji Peter Msigwa ametambulishwa leo Juni…

TANROADS yampa tano Rais Samia kutoa bil. 101.2/- kwa ujenzi wa barabara Kahama – Bulyanhulu – Kakola

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza…

Kuelekea chaguzi: Vyombo vya habari vyashauriwa kutoa elimu ya rushwa

Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), CP .Salumu Rashid Hamduni ,amevitaka vyombo vya habari na wadau mbalimbali nchini kushirikiana kupiga vita rushwa ili kupata viongozi…

Polisi wakamata majahazi ya mafuta ya kupikia dumu 1731

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Polisi Wanamaji limefanikiwa kukamata majahazi yakiwa na mafuta ya kupikia dumu 1731. Kwa mujibu wa Kamanda wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, ACP Moshi Sokoro amesema katika ufuatiliaji…