Month: May 2024
Wizara ya Ujenzi yajipanga kurudisha miundombinu iliyoharibika – Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua…
Waziri Silaa afunga ofisi ya masijala ya ardhi Jiji la Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma ikiwa ni hatua ya wizara yake kuondoa changamoto za sekta ya ardhi katika jiji la Dodoma….
Leo ni kivumbi na jasho, nafasi ya pili, mfungaji bora
na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Pazia la Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara linafungwa rasmi leo Mei 28, 2024 huku kukiwa na vita tatu kubwa za kushindaniwa ikiwa ni pamoja na mbio za nafasi ya pili, mbio za…
RC Senyamule : Wananchi wekeni mkakati wa kufanya mazoezi
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wananchi kuweka mkakati wa kufanya mazoezi kwa lengo la kuweka sawa miili yao ili kukabiliana na magonjwa ambayo yamekuwa yakiwa kumba mara kwa mara. Mkuu huyo wa Mkoa ameyasema hayo leo Wilayani…
Upotoshaji wa vivuko Kigamboni una maslahi binafsi – Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na…
JK kinara utafutaji fedha za za kuimarisha elimu Afrika
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe…