JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi

Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni jijini Dodoma…

Aliyempa hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua bungeni na jogoo wa Bashungwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es…

Waziri Silaa : Fanyeni kazi kwa uadilifu

Na Eleuteri Mangi, WANMM, Dodoma Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu wakitabua kila maamuzi wanayoyafanya yanaishi na wawe na uwezo wa kuelezea wamefikiaje maamuzi hayo ili watu wengine wakipitia watambue kweli kazi ya kuridhisha imefanyika. Kauli…

Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

TANZANIA na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha  biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha  Dola milioni 460  zikizofikiwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2023. Balozi wa Marekani nchini , Michael Battle amesema hayo leo Dar es Salaam wakati akifungua mkutano…

Wahandisi wafanyiwa vipimo vya viashiria vya moyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inatoa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo na ushauri wa lishe bora kwa wahandisi kutoka nchi za Afrika walioudhuria mkutano wa 30 wa wahandisi washauri Afrika (FIDIC Africa)…

Teknolojia mbadala kuimarisha mtandao wa barabara nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Teknolojia mbadala kuimarisha mtandao wa barabara ikiwemo ujenzi wa madaraja imara na madhubuti itaendelea kutumiwa nchini na Wakala ya Barabara za Vijijini na Vijijini – TARURA. Yameelezwa hayo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi…