JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Wafanyakazi Nishati katika kilele cha Mei Mosi Dodoma

Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati wameshiriki maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei, 2024. Maandamano hayo yalianzia katika viwanja vya Bunge na kuhitimishwa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Maadhimisho hayo maarufu kama Mei Mosi kwa…

Aua mke kwa shoka na kumzika porini

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora MKAZI wa kijiji cha Nzigala kata ya Kigwa, Wilayani Uyui Mkoani Tabora Bi.Kaluba Emmanuel (27) ameuawa kwa kukatwa na shoka na mume wake kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mwanaume mwingine. Kamanda wa Polisi Mkoani…

Uturuki ni fursa miaka 60 ya Uhuru Tanzania

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia Aprili 17 hadi 21, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alifanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Uturuki. Wiki iliyopita niliandika kuhusu ukubwa wa uchumi wa nchi ya Uturuki, mapinduzi makubwa…

NEMC yapiga kambi kanda ya ziwa kuelimisha matumizi ya zebaki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wameanza kampeni uya kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya zebaki kwa migodi ya dhahabu kanda ya…

Serikali iliyoibadili sura mpya bandari ya Tanga kwa bilioni 400, msamaha wa tozo wawavutia wateja

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Tanga “Uboreshwaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa kuwekeza Bilioni 400 umeleta mapinduzi makubwa katika bandari ya Tanga ambapo hadi sasa umehudumia meli 29 zilizobeba tani 221, 440 na kuibadili bandari ya mkakati. “Pia uwekezaji huo umeibadili…

Zaidi ya watu 140 wafariki kwa radi, dhoruba Pakistan

Zaidi ya watu 140 wamefariki dunia nchini Pakistan baada ya kupigwa na radi na matukio mengine yanayohusishwa na dhoruba katika mwezi huu wa Aprili, huku taifa hilo likishuhudia mvua kubwa kabisa. Pakistan imekumbwa na mafuriko makubwa, maporomoko ya ardhi na…