JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Madaktari 1,109 kunufaika na ufadhili wa Rais Samia masomo ya ubingwa bobezi 2023/24

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya Shilingi 10.9 bilioni zimetengwa na kuwawezesha wanafunzi 1,109 kwenye…

Spika awataka wandishi wa habari kuelimisha jamii kuhusu athari za mabadiliko tabianchi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SPIKA wa Bunge ambaye Pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Tulia Akson ametoa rai kwa Waandishi wa Habari nchini kuielimisha Jamii kuhusiana na mabadiliko ya Tabianchi kutokana na kuwepo kwa athari mbalimbali zilizotokana na mafuriko….

EWURA : Uchakachuaji mafuta umepungua kwa asilimia 80

Na Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi Walter Christopher amesema uchakachuaji wa mafuta umepungua kutoka asilimia 80 hadi asilimia 4 mwaka 2022. Hayo ameyasema leo Alhamisi Mei 2,2024…

Miaka mitatu ya Rais Samia Mwakiposa afunguka

Na Mwandishi Wetu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekii wa Mtaa wa Dovya Kata ya Bunju Manispaa ya Kinondoni Anasisye Lazarus Mwakiposa amesema kuwa miaka Mitatu ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Mtaa huo umetekeleza Vyema Ilani ya Chama Cha…

TMA yatoa tahadhari uwepo mgandamizo wa upepo

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kuna uwezekano wa kutokea kwa Kimbunga kamili hadi kufikia kesho tarehe 2 Mei 2024 kutokana na uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi…

Rais Samia amefungua milango kwa wahisani, wadau kutoa huduma – Mzava

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kufungua milango kwa wahisani na wadau wa maendeleo kupitia Sekta binafsi ili kumuunga mkono jitihada za Serikali kutoa huduma kwa watanzania. Kiongozi wa Mbio…