Month: May 2024
Kamati ya Bunge yaimwagia sifa NIRC kutekeleza vizuri miradi ya umwagiliaji
Yampongeza Mkurugenzi Mkuu Mndolwa, yamtia moyo achape kazi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, imeipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa kazi kubwa inayoifanya katika kufanikisha Kilimo…
Kimbunga Hidaya chazidi kusogea Tanzania, Serikali yatoa tahadhari
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka wananchi wote wanaojihusisha na shughuli mbalimbali baharini kuchukua tahadhari kubw kutokana na kimbunga Hidaya ambacho tayari kimeshaingia Mashariki kwa Pwani ya Tanzania….
TMA: Kimbunga Hidaya kuathiri mifumo ya hali ya hewa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea…
Waziri Ummy atangaza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika Bara la Afrika na kuwa nchi ya kutembelewa kwa ajili ya utalii tiba kutokana na uboreshanji wa miundombinu…
Rais Samia atoa bil.5/- kurejesha miundombinu ya barabara, madaraja Lindi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja. Mvua hizo katika baadhi ya maeneo zilikwamisha shughuli za…
Mahakama yaelezwa Nathwani alivyotoa lugha za matusi kwa Kihindi na kumjeruhi jirani yake
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam MSIMAMIZI wa Msikiti wa Wahindi Lohana, Ankit Dawda (32) ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jinsi wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) walivyomshambulia jirani yao Lalit Ratilal na…