JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Mradi wa maji Kimanzichana Mkuranga kunufaisha wakazi zaidi ya 20,000

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mkuranga Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Godfrey Mzava, Mei 4 Mwaka 2024 ,ameweka jiwe la msingi mradi wa maji Kimanzichana, wilayani Mkuranga, uliogharimu sh.bilioni 5.2 ambao utanufaisha zaidi ya watu 20,000 na kusimamiwa na…

TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Hidaya nchini

Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…

Kimbunga Hidaya chapoteza nguvu wakati kikingia Bahari ya Hindi

Aidha, mawingu ya mvua yaliyokuwa yakiambatana na kimbunga hicho yamesambaa katika maeneo ya kusini mwa nchi hususan katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na maeneo jirani na kuweza kusababisha vipindi vya mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo. Kwa mafano hadi…

TMA yatoa mwenendo wa kimbunga Hidaya, upepo mkali unazidi km 50 kwa saa watawala

Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu kabisa na pwani ya nchi yetu umeendelea kutawala mifumo ya hali ya hewa katika maeneo hayo, ambapo katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali vimeendelea kujitokeza. Mfano katika vituo…

Tanzania yapendekeza kuanzishwa kwa vituo viwili vya umahiri kwa nchi za Afrika Mashariki

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa mapendekezo kwa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) lipitishe maombi ya Tanzania kuanzisha vituo viwili vya umahiri kwa Afrika Mashariki vitakavyotoa huduma za Afya ya Kinywa na…

Mzava : Uzalishaji makaa ya mawe kuleta mapinduzi ya uhifadhi wa mazingira

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kiwanda cha makaa ya mawe, kata ya Visegese wilayani…