JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

WHO IS HUSSAIN yatoa misaada ya milioni 28/- kambi ya waathirika wa mafuriko Chumbi, Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji MKUU wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle ametoa agizo kwa watu ambao bado wanaoishi kwenye maeneo yaliyozingirwa na maji ,mabondeni waondoke na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya usalama wao. Akipokea…

‘Acheni roho mbaya wasaidieni watumishi mnaowaongoza kupanda vyeo’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete amewataka Wakuu wa idara wanaosimamia utawala na rasilimali watu  nchini kuacha roho mbaya kwa watumishi wenzao na kufanya kazi zao…

Mwendokasi Mbagala, G/Mboto kuanza Februari-Machi 2025

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainabu Katimba amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha huduma ya mabasi yanaanza kama ilivyokubaliwa ili wananchi…

Tanzania kinara wa uhuru wa habari Afrika Mashariki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya Reporters…

Madaktari bingwa 40 kutoa huduma hospitali zote za Halmashauri Ruvuma kwa siku tano

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Huduma za mkoba za madaktari bingwa zinatarajia kuanza kutolewa katika hospitali za Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei 6 hadi 10 mwaka huu. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dk Louis Chomboko amesema…

Naibu Waziri Pinda akabidhi gari la wagonjwa Mpimbwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika Halmashauri ya Mpimbwe Qilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Mhe, Geophrey Pinda amekabidhi gari la wagonjwa kwa ajili ya…