JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Bodi ya Ushauri ya Watoto Taifa yatakiwa kuwa na umoja- Waziri Pembe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Unguja Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma ameitaka Bodi ya Ushauri ya Watoto Taifa kuwa na umoja moja katika mapambano ya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya Wanawake na…

BRELA kuadhimisha Siku ya Miliki Ubunifu Duniani kesho

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa wito kwa wadau mbalimbali zikiweko Taasisi zinazosimamia Masuala ya Miliki Ubunifu kushiriki katika Maadhimisho ya siku ya Miliki Ubunifu Duniani ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho…

RC Chalamila apokea Mwenge wa Uhuru 2024, miradi 39 kuzinduliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Mei 08, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Pwani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Terminal I. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo RC Chalamila…

TANROADS Ruvuma yapokea bilioni 2.5 kufanya matengenezo ya barabara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tundururu WAKALA wa barabara (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umepokea Sh.bilioni 2.5 kati ya Sh.bilioni 6 ilizoomba ili kurejesha miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za masika katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Hayo yamesemwa jana na Meneja wa…

Bashungwa: Naweza kufukuza timu yote inayoendelea kurejesha mawasiliano ya barabara Dar – Lindi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na kasi ndogo ya…