JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Mawasiliano ya barabara Dar – Lindi kurejea leo, Somanga sasa panapitika – Bashungwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na amesisitiza kuwa ifikapo kesho leo…

Dk Ndungulule kugombea nafasi ya ukurugenzi WHO Ukanda wa Afrika

Na Magrethy Katengu JamuhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemteua aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika kwenda kuiwakilisha nchi…

Mwenyekiti Taifa ACt – Wazalendo akamilisha ziara yake Kigoma

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha @ACTwazalendo, Othmasoud Masoud leo Mei 08, 2024, amekamilisha ziara yake katika Mkoa wa Kigoma, ambayo imejumuisha Harakati za Kisiasa na Kijamii ikiwemo Ujenzi wa Chama. Akiagana na Wanachama na Wananchi wa Mkoa huo kuelekea…

Serikali kujenga kituo cha kupoza umeme na Switching Station Songwe – Kapinga

📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji umeme mkoani Songwe 📌 Uboreshaji wa miundombinu ya umeme unaendelea Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa…

Matukio katika picha, uzinduzi Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam. Mgeni…