JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Wananchi katavi waipongeza Hifadhi ya Katavi kwa uimarishaji wa ushirikiano

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia,Katavi WANANCHI waishio vijiji vya pembezoni mwa hifadhi ya Taifa Katavi waishukuru hifadhi hiyo kwa kuendelea kuwasaidia katika kuwaletea maendeleo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa bweni,Madarasa ,Vituo vya Afya,Utoaji wa mizinga kwa wanawake pamoja na uchimbaji wa kisima…

Uchakataji wa madini, ubora wa vifaa na usalama ni tija kwa kipato cha juu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wafanyabiashara wa madini pamoja na jamii inayojihusha na sekta ya madini wametakiwa kuhakikisha wanatumia vifaa vyenye ubora katika uchakataji wa madini ili kuongeza ubora kwa ustawi wa shughuli za madini na kuendana na kasi ya…

Miradi yenye thamani ya bil 27.4/- yapitiwa na mbio za mwenge wa uhuru Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Temeke umekimbizwa umbali wa KM 81.78 Kukagua, kuweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Aidha Mwenge wa Uhuru 2024 umeendelea kutoa…

Magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo kwa asilimia 33 nchini – Dk Mpango

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MAKAMU wa Rais, Dkt.Philip Mpango ameeleza magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo nchini kwa asilimia 33 ikiwemo kisukari na shinikizo la damu. Ameeleza katika miaka ya 1980 ni asilimia moja tu ya watanzania waliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa…

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa WADAU wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa na mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania Limited (T-PEC). Wakizungumza kwa nyakati tofauti wadau katika mnyororo wa thamani wa…