Month: May 2024
ACT Wazalendo – Upotevu wa maji utafutiwe mwarobaini
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kufanya ukaguzi na ukarabati wa miundombinu ya maji ikiwemo mita, mabomba, matanki, ili kuzuia upotevu wa maji na kudhibiti mifumo ya maji taka yanayovuja ovyo hali itakayopelekea wananchi…
Mkurugenzi akerwa damu kuhifadhiwa kwenye jokofu la matumizi ya nyumbani hospitalini Tanga
Mkurugenzi wa huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amekerwa na kitendo cha uhifadhi damu kwenye jokofu la matumizi nyumbani . Hayo yamebainika katika Hospitali ya halmashauri ya mji Korogwe Magunga wakati wa ziara…
Utaratibu wa bima ya afya ni wa kuchangiana sio msaada – Serikali
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuanza kutekelezwa kwa Bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhisho la kudumu la kurahisisha upatikanaji wa huduma za Afya kwa makundi yote nchini ikiwemo wanafunzi Kauli hiyo imebainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt….
Chalamila atoa wito kwa viongozi, watendaji wa ushirika kutumia dhamana waliyopewa kwa uaminifu na weledi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa wito huo kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika kutumia Dhamana hiyo waliyopewa kwa Uaminifu na Weledi Mkubwa RC Chalamila ameyasema hayo Jana katika…
Bashungwa azikutanisha TEMESA na AZAM Marine uboreshaji huduma za vivuko
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini…
Serikali imebaini maeneo manne ya changamoto kwa wachimbaji – Dk Kiruswa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kufuatia utafiti uliofanywa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika mikoa tisa (9) nchini, Serikali imeweza kubaini maeneo manne ya changamoto zinazowakibili wachimbaji wadogo wa madini…