Month: May 2024
Tanzania yaongoza kikao cha wataalamu Afrika kuhusu nishati safi ya kupikia
Na Mwandishi Wetu Tanzania imeongoza kikao cha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kujadili kuhusu vipaumbele vya sera katika masuala ya nishati safi ya kupikia ili kuja na azimio litakalopitishwa na wakuu wa nchi husika barani humo. Kikao hicho kimefanyika…
Serikali yatoa kibali cha ajira mpya 13187 Wizara ya Afya
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema katika kukabiliana na changamoto ya sasa ya uhaba wa Watumishi, Serikali imetoa kibali cha kuajiri jumla ya Watumishi 13,187 katika Sekta ya Afya huku pia ikichukua hatua ya kutekeleza mwongozo…
Yanga kutangazwa mabingwa wa 30 leo kama atamfunga Mtibwa
Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Yanga leo inatarajia kushuka dimbani Manungu Complex Turiani mkoani Morogoro kuumana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ambao kama wananchi watafanikiwa kuvuna alama tatu basi watatangazwa rasmi kuwa mabingwa kwa mara…
TRA, ZRA waweka mikakati kuimarisha utendajikazi mpaka wa Tanzania, Zambia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduma KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Banda wameweka mikakati ya kuimarisha utendaji kazi wa mpaka wa Tanzania na Zambia, Tunduma ili…
Maeneo yaliyoathiriwa na mvua barabara Dar -Mtwara yote ni shwari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Barabara ya Dar es Salam Lindi -Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo…