JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Bondia Sherif Lawal afariki baada ya kupigwa ngumi nzito

Bondia Sherif Lawal (29) amefariki dunia akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kupigwa ngumi iliyomuangusha chini katika pambano lake dhidi ya bondia kutoka Ureno Malam Varela, lililochezwa kwenye ukumbi wa Harrow Leisure Center siku ya Jumapili. Katika pambano hilo la…

Watoto 2, 180, 313 wapata chanjo ya Penta3 nchini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imefanikisha kutoa chanjo ya Penta3 kwa watoto 2,245,722 ndani ya kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Machi 2024. Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema hayo Bungeni jijini Dodoma Mei 13,…

Daftari la wapiga kura kuanza kuboreshwa Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa…

Uwekezaji Bandari Kavu Kwala unavyochangia kuimarisha mapato TPA, kuongeza ushindani

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Pwani Moja ya changamoto kubwa zilizokuwa zinaikabili Bandari ya Dar es Salaam kuanzia miaka ya 2008 ni msongamano wa meli uliotokana na mrundikano wa Shehena katika Bandari ya Dar es salaam. Plasduce Mbossa ni Mkurugenzi Mkuu…

Waziri Ndejembi aipongeza NSSF kwa kuongeza kasi ukuaji wa mfuko huo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kazi ambayo imekuwa ikifanya na kushuhudia kasi ya ukuaji wake….