JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Polisi Arusha wapewa pikipiki 20 kuimarisha usalama

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Akikabidhi…

Afisa Tarafa Bwanku akagua miradi ya Rais Samia ya mil.89/- sekondari ya Karamagi

Mei 15, 2024, Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyoko Bukoba Mkoani Kagera Bwanku M Bwanku amefika Kata ya Mikoni kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa pamoja na kusikiliza na kutatua kero ya Mwanamama Shakila Elius na aliyekuwa mumewe…

Canada kuchangia mfuko wa afya wa pamoja ili Tanzania kufikia afya kwa wote

Na WAF – Dar es Salaam Serikalo ya Canada imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kushirikiana pamoja katika kuboresha Sekta ya Afya ili kufikia malengo ya afya kwa wote huku huduma bora za afya zikiendelea kutolewa na kupatikana kwa uhakika. Hayo yameelezwa…

Watafiti watakiwa kuzingatia sheria za kufanya tafiti za afya

Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa. Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo…

NEMC latoa siku 90 kwa hospitali, taasisi kuweka miundombinu sahihi ya kuchoma taka

Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa siku 90 kwa Hospitali na taasisi zote za afya kuhakikisha wanaweka miundombinu sahihi ya kuhifadhi na kuteketeza taka zitokanazo na huduma ya afya kwa kuzingatia matakwa ya sheria ya…

Halmashauri Bagamoyo kujenga jengo la utawala litakalogharimu bil.6.2- DED Selenda

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, inatarajia kujenga jengo la Utawala lenye gharofa mbili, eneo la Ukuni kata ya Dunda, Jengo ambalo litagharimu kiasi cha sh.bilioni 6.2 hadi kukamilika kwake. Ujenzi huo utakuwa wa awamu mbili…