Month: May 2024
DAWASA yakamilisha mradi wa Nyakahamba – Kerege Bagamoyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani na kuwezesha…
Wananchi ‘wafunguka’ barabara za TARURA zinavyowaongezea kipato na kukuza uchumi wao – Kilolo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalang’ombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua…
Wadau wa madini kukutana Arusha
Na Vicky Kimaro, Tume ya Madini JUKWAA la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha International Conference Centre (AICC). Jukwaa hilo linafanyika…
Serikali iungwe mkono udhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Kibaha MEI 9 mwaka 2024 Tanzania imezindua kampeni ya awamu ya pili ya “Mtu ni Afya” baada ya ile ya kwanza kutamatika kwa mafanikio makubwa kutokana na baadhi ya magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua wananchi takribani miaka 50…
TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Ialy Bahari ya Hindi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kitaendelea kusalia katika Bahari ya Hindi katika eneo…