JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Mradi jumuishi wa kuhifadhi misitu na kuboresha mnyororo wa thamani ya mkaa wazinduliwa Bagamoyo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo MKOA wa Pwani umekuwa sehemu ya kuchagiza mabadiliko hasi ya tabia nchi , pamoja na uharibifu wa mazingira, kutokana na uwepo wa soko kubwa la mkaa unaotumika zaidi Jiji la Dar es Salaam. Hayo aliyaeleza…

Sekta ya nyuki bado inakabiliwa na changamoto zinazotishia uendelevu wake – RC Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Dodoma una zaidi ya mizinga 18,000 ya nyuki yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya kilo 135,000 za asali kiwango ambacho kinatajwa kuwa bado ni kidogo ikilinganishwa na fursa za ufugaji nyuki zilizopo mbapo zaidi ya…

Makosa ya ajali barabarani yaongezeka Aprili 2024 Zanzibar

Jumla ya ajali 18 zimeripotiwa mwezi wa Aprili, 2024 Wilaya ya Kaskazini ‘A’ na Kaskazini ‘B’ zimeripotiwa kuwa na ajali zaidi ambazo ni nne (4) kwa kila wilaya sawa na asilimia 22.2 ikilinganishwa na wilaya nyengine. Akitoa taarifa ya Makosa…

RAS Nguvila : Mamlaka za Serikali shirikianeni vema sio kutunishiana misuli

-Afungua na kufunga Kikao kazi Cha Robo Mwaka -Aelezea Umuhimu wa Kikao kazi Cha Robo Mwaka -Atoa Maagizo yafuatayo kwa MSM na Taasisi za Serikali Dsm Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt.Toba Nguvila amezitaka Taasisi za Serikali…

Wananchi waipongeza TANROADS Morogoro kurejesha miundombinu ya barabara Malinyi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea…