JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Gumzo la nani atachukua nafasi yake Rais Iran

Rais Ebrahim Raisi alikuwa karibu kufikia nafasi ya juu ya madaraka katika Jamhuri ya Kiislamu na alipendekezwa sana kupanda hadi nafasi hiyo. Kufariki ghafla kwa Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili kumezua gumzo la nani hatimaye…

BREAKING NEWS, Rais wa Iran afariki dunia

Rais wa Iran Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili kaskazini-Magharibi mwa Iran. Helikopta hiyo ilipatikana kaskazini magharibi kwenye mteremko wa kilima katika eneo la Varzaghan,…

TMA yatoa taarifa ya mwenendo kimbunga Ialy Bahari ya Hindi Kaskazini mwa Madagascar

Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 17 Mei 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu kuwepo kwa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar, Mamlaka inapenda kutoa mrejeo kuhusiana na mwendendo wa kimbunga hicho. Mifumo…

Act Wazalendo watoa neno kwa Serikali suala la mawasiliano

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kushughulikia tatizo la upatikanaji wa mawasiliano ya simu, intaneti na matangazo ya Televisheni na Redio limekuwa kwani limekuwa likirudisha maendeleo ya maeneo ya vijijini na baadhi ya miji….

Misafara ya kitalii Shanghai yafana, washiriki zaidi ya 250 wajitokeza

Leo Mei 19, 2024 katika mji wa Shanghai China yamefanyika matembezi ya kitalii(Roadshows) ikiwa ni muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na China na uzinduzi wa mwaka wa utalii na utamaduni uliofanyika Mei 15, 2024….