JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

India kukabiliwa na joto kali kwa wiki tatu

Idara ya Hali ya Hewa nchini India imeonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na wimbi la pili la joto kali katika muda wa wiki tatu, ikiwemo maeneo ambayo mamilioni ya watu wanatazamiwa kupiga kura katika uchaguzi wa wiki sita. Idara ya…

Rais Ruto kuanza ziara ya kihistoria nchini Marekani

Rais William Ruto wa Kenya anaanza ziara ya kihistoria nchini Marekani, ambayo inatarajiwa kuwa mapinduzi kwa Kenya yenye kulenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbilo. Ziara hiyo ambayo ni ya kwanza kwa kipindi cha miaka 15, ilifanyika na rais…

Macron aitisha mkutano mwingine kuhusu New Caledonia

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha mkutano mwingine wa dharura wa baraza lake la ulinzi na usalama kwa ajili ya kujadili ghasia zinazoendelea katika kisiwa cha New Caledonia ambacho ni himaya yake. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha mkutano mwingine…

Saruji nyeupe kuitangaza Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Serikali imezitaka halmashauri nchini kuendelea kuboresha miundombinu sanjari na kutenga maeneo rafiki kwa uwekezaji na wawekezaji ili kuifikia azma ya serikali kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uwekezaji. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe…

Mafuriko mapya yasababisha vifo vya watu 66 Afghanistan

Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika Mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan. Mamia ya watu wamekufa katika mafuriko tofauti mwezi huu ambayo pia yamesomba mashamba . Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan….

Mukhbar kuiongoza Iran kwa siku 50

Na Isri mohamed SAA chache baada ya kutangazwa kwa kifo cha Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, aliyekuwa makamu wa Rais wake Muhammad Mukhbar anajiandaa kuiongoza nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha siku 50. Kwa sasa Mukhbar anasubiri tu kuthibitishwa…