JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Urambo , Kaliua wafanya kikao cha ujirani mwema kupitia upya mipaka ya kiutawala – DED Grace

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Kaliua Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora Grace Quintine amesema wamefanya Kikao cha Ujirani mwema na Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ili kupitia upya mipaka ya Kiutawala kati ya Wilaya ya Urambo…

RC Makonda azindua magari ya zimamoto na uokoaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha kushirikiana na Mamlaka ya Maji katika kuvitambua, kuviendeleza na kuvitunza visima maalum vya maji vilivyokusudiwa kutumika na jeshi…

Thiago Silva amwaga machozi akiagwa Chelsea

Na Isri Mohamed Beki wa kati wa Brazil, Thiago Emiliano Da Silva, ameagwa rasmi na klabu na wachezaji wenzake usiku wa kuamkia leo, mara baada ya mkataba wake kumalizika na kutoongeza kandarasi ya kusalia klabuni hapo. Silva ambaye amedumu Chelsea…

Balozi Phaustine ateta na mjumbe wa kamisheni ya Siasa Msumbiji

Leo tarehe 20 Mei 2024, Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Alcinda António de Abreu, Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO. Kupitia mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya FRELIMO…

Mazishi ya Rais wa Iran kufanyika kesho, watangaza siku tano za maombolezo

Chombo cha habari cha Iran, Tasnim, ambacho kina mfungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo, kinaripoti kuwa mazishi ya Rais Ebrahim Raisi yatafanyika kesho Tabriz – mji aliokuwa akisafiria jana. Kituo hicho kinasema mazishi ya watu…

Tuna mkakati maalum na Comoro -Dk Janabi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za tiba kwa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kutoka visiwa vya Comoro kutokana na…