JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Ummy : Epukeni matumizi holela ya dawa

Na WAF – Tanga Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuacha matumizi holela ya dawa bila kufuata ushauri wa madaktari ili kuepuka usugu wa dawa dhidi ya vimelea ambapo husababisha dawa hizo kushindwa kuponya. Waziri Ummy amesema hayo Mei…

Wiki ya AZAKI yazinduliwa Dar, Rutenge awashauri wananchi kutoa maoni Dira ya Taifa 2050

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS) Justice Rutenge, amesema katika kutekeleza Dira ya Taifa 2050 wananchi wanapaswa kupaza sauti zao kwa kutoa maoni  yatakayopelekea kupata Dira bora kwa maendeleo ya jamii…

FCS, Vodacom waingia mkataba wa mil.150/- kuelekea wiki ya AZAKI

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam  Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na  Vodacom Tanzania Foundatio wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni  udhamini  wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika…

NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa la Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Kupitia…

Zuma hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu Afrika Kusini

Mahakama ya kikatiba ya Afrika Kusini imetoa uamuzi kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. Inaelezwa kwamba uamuzi huo uliofuatiliwa kwa ukaribu na watu wengi nchini humo…

Yatakayotokea ndani ya siku tano za maombolezo nchini Iran

Iran inapanga kufanya misafara kadhaa ya maombi kwa ajili ya Rais Ebrahim Raisi na maafisa wengine waliofariki katika ajali ya helikopta. Msafara wa kwanza umeanza leo saa 09:30 kwa saa za huko (06:00 GMT) katika jiji la kaskazini-magharibi la Tabriz….