Month: May 2024
RC Simiyu akerwa jenereta kushindwa kutumika kwa ukosefu wa chumvi, mkaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda ametoa siku tano kwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha Salim pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Michael Kachoma kuhakikisha jenereta ya Hospitali ya Wilaya ya Busega…
Serikali yajenga daraja Ruhembe
Wananchi wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo waliokuwa wakiteseka kwa muda mrefu kusafiri umbali mrefu au kuzunguka kwenye mashamba ya miwa kuzifikia huduma za kijamii kwa sasa wanaondokana na adha hiyo baada ya serikali kujenga daraja…
Majaliwa : Vyombo vya habari vijiepushe na habari za uchochezi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu…
Serikali kuendelea kutoa elimu ya kanuni za biashara ya kaboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kujenga uelewa kwa wadau mbalimbali kuhusu Kanuni na Miongozo inayosimamia Biashara ya Kaboni. Hayo yamebainishwa leo Jumanne (Mei 21, 2024) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),…
Waziri Silaa : Urasimishaji makazi kuboreshwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema zoezi la urasimishaji linaloendelea maeneo mbalimbali nchini litaboreshwa ili kuleta ufanisi. Silaa amesema hayo tarehe 21 Mei 2024 wakati wa semina kwa Wajumbe wa…
TANROADS Lindi yarejesha mawasiliano barabara ya Kilwa Masoko -Nangurukuru – Liwale
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Lindi umefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokuwa yamekatika kati ya Kilwa Masoko-Nangurukulu wilaya ya Kilwa na wilaya ya Liwale mkoani Lindi. Mawasiliano hayo yamereshwa ndani ya saa 24 kupitia kazi…