JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Usalama na Amani Afrika

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeaminiwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika ambapo katika maadhimisho hayo ya miaka 20 tanayotarajiwa kufanyika Mei 25,2024 jijini Dar es Salaam…

RC Chalamila awataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti pamoja na kutoa risiti za EFD. Vilevile, Chalamila amewaonya wafanyabiashara wanaotishia kugoma pale ambapo wanatakiwa kulipa…

Watu 85 wauwawa kufuatia mapigano makali Sudan

Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika…

Uingereza, Marekani hawaitambui taifa la Palestina

Takriban nchi 140 zimelitambua taifa la Palestina, kulingana na barua ya hivi majuzi kwa Umoja wa Mataifa. Nchi hizo zinajumuisha wanachama wa Kundi la nchi 22 za Kiarabu katika Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Nchi 57 za Ushirikiano wa Kiislamu…

Kiongozi mkuu wa Iran aongoza ibada ya mazishi ya Raisi

Kiongozi mkuu wa Iran ameongoza mazishi ya marehemu rais wa nchi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na wengine waliofariki katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili. Ayatullah Ali Khamenei aliongoza sala ya mazishi katika Chuo Kikuu cha Tehran. Rais…

Moshi wa jenereta wawaua wanafunzi wa Nigeria

Takriban wanafunzi saba wa chuo kikuu wamefariki baada ya kuvuta moshi kutoka kwa jenereta katika studio ya muziki katika jimbo la Bayelsa lenye utajiri wa mafuta nchini Nigeria. Vijana hao wanasemekana kufanya kazi hadi Jumatatu usiku na kulala kwenye studio…