JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2024

RC Ruvuma : Mfumo wa stakabadhi ghalani umedhibiti vipimo visivyo halali

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefungua masoko ya ufuta,soya na mbaazi kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani na TMX wilayani Namtumbo. Katika uzinduzi wa mnada wa kwanza mkoani Ruvuma katika zao la…

Waziri Mkuu wa Chad ajiuzulu baada ya mshindi wa kura kuthibitishwa

Waziri Mkuu wa Chad Succes Masra ametangaza kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatano, ikiwa wiki kadhaa zimepita baada ya kushindwa na Mkuu wa Serikali ya Kijeshi Jenerali Mahamat Idriss Deby katika uchaguzi wa rais uliofanyika Mei 6, mwaka huu. Masra…

TANROADS yaweka kambi kurejesha mawasiliano barabara ya Tingi -Kipatimo Lindi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga Hidaya. Kwa pamoja majanga hayo…

Mwiba uliomkwama mtoto kwenye koo waondolewa na madaktari bingwa wa Samia

WAF – Tanga Jopp  la madaktari bingwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan waliokita kambi kwenye Hospitali ya Jiji la Tanga iliyopo Kata ya Masiwani wamefanya upasuaji wa kuondoa mwiba uliokwama kwenye koo la mtoto mdogo wa mwaka mmoja na…

TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Ialy nchini

Dar es Salaam, 22 Mei 2024 Saa 4 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “IALY” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 17 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…

Tanzania, Msumbiji kuanzisha Jukwaa la Pamoja la Biashara

Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Silvino Augusto José Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi ya Wizara hiyo Jijini Maputo. Katika mkutano huo, Viongozi hao wawili…