Month: May 2024
Watanzania waaswa kutumia fursa ya msaada wa kisheria kutatua migogoro
π Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia π TEHAMA kutumika utoaji haki πWatoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
Jaji Mwangesi: Vyombo vya habari ni nguzo muhimu katika ukuzaji wa maadili ya viongozi
Na Stella Aron,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia marekebisho ya Katiba mwaka 1995, Serikali iliianzisha Sekretarieti ya Maadili chini ya Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977. Sekretarieti ilianza kazi zake rasmi Julai, mwaka 1996…
Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13
Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula, Kata ya Ngomeni kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi wa Mahakama…
Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25, 2024. Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua…
Dereva wa Shabiby akamatwa kusababisha ajali iliyojeruhi 22
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU, Said Malugula akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi abiria 22, baada ya basi hilo kupinduka eneo la Kihonda kwa Chambo mkoani Morogoro. Kamanda wa…