Month: May 2024
Watumishi wawili watuhumiwa kughushi mfumo wa mapato
Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Arusha Tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma zimechukua sura mpya baada ya watumishi wawili kudaiwa kuhusika kutengeneza namba bandia ya mlipakodi na kampuni hewa ya kulipia makusanyo…
Polisi waendelea kudhibiti madereva kidijitali, watatu mbaroni
Na Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo huo mei 27 muda wa alfajiri limewabaini madereva watatu…
Bashungwa akagua maonesho ya sekta ya ujenzi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika…
‘Maofisa ardhi wamejigeuza madalali’
MBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo, amesema baadhi ya wataalamu wa ardhi mkoani Dodoma, wamejigeuza madalali na wanashiriki kunyang’anya wananchi wanyonge ardhi. Akichangia bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo…
Wananchi Njombe kupata msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya mama Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe CHAMA cha Mawakili wa Serikali Tanzania kimewaahidi wananchi mkoani Njombe kuwa watatumia ujuzi wao wa sheria kutatua kero mbalimbali zitakazowasilishwa kwenye kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign). Ahadi…
Tanzania yashika ukurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
Na. Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi. Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa Afrika Mashariki katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuanzia mwezi Agosti, 2024. Katibu Mkuu…