JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Serikali yazitaka taasisia fedha kutoa mikopo kufuata utaratibu

Na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za fedha kutoa mikopo kinyume na miongozo iliyopo. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri…

Watumishi Wizara ya Fedha watakiwa kuendelea kuzingatia sheria

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi.Jenifa Omolo akiwataka watumishi wa Wizara kutoa maoni yao yatakayosaidia katika kuboresha utendaji wakati wa mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania,…

Mkuu wa Majeshi akutana ma Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa anayeshughulikia amani

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Operesheni za Ulinzi wa Amani ( UN Under Secretary General for Peace Operations) Bw. Jean Pierre Lacroix…

Rais wa Mabunge Duniani Dk Tulia akutana na Balozi wa Norway nchini

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tine Tonnes Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo…

TAWA yapokea meli ya watalii zaidi ya 200 Kilwa Kisiwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani waliofika katika Hifadhi ya Urithi wa utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kilwa…