Month: April 2024
Serikali yataja sababu ya kufuta leseni maduka ya fedha
Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha…
Waziri Mkuu azindua mbio za mwenge wa uhuru 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa vijana ambao wanategemewa kuongoza kufanya shughuli za uzailishaji na kuharakisha maendeleo Ametoa wito huo leo (Jumanne Aprili 2, 2024) katika…
Serikaki yabadili muundo wa NEMC kuwa Mamlaka ya Usimamizi Mazingira
Serikali imeanza kufanya marekebisho ya kubadili muundo wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA). Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema…
Serikalli kuendelea kuwalea wazalishaji, wawekezaji wa ndani
Na Mwamdishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Serikali itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi ili waweze kukuza mitaji yao na kuchangia katika maendeleo ya ya Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na…
Ziara katika kaburi la Waziri kiongozi wa kwanza 1964 Brigedia Ramadhan Haji Faki
Na Fauzia Mussa – MAELEZO, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, kazi Uchumi na uwekezaji Al Hajj Shariff Ali Shariff amesema Serikali inaendelea kuwatambua na kuwathamini viongozi wote walitangulia mbele ya haki kwa mchango wao katika kuipigania Nchi. Akitoa…
Hospitali ya Kenya kuzika miili ya watoto 475 ambayo haijachukuliwa na ndugu zao
Hospitali kubwa zaidi ya rufaa ya umma nchini Kenya imetangaza kuwa itazika mamia ya miili ambayo haijachukuliwa na jamaa wao iliyopo katika chumba chake cha kuhifadhi maiti ikiwa wanafamilia hawataichukua. “Wananchi wanaombwa kutambua na kuchukua miili hiyo ndani ya siku…