Month: April 2024
Utupaji mpya wa takataka jijini Dodoma,uongozi watoa kauli
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limedhamiria kushirikiana kwa ukaribu na watu wa usalama barabarani, polisi jamii,wasimamizi wa mandhari na watu wa sheria ndogo ndogo za uhifadhi katika kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira unaotokana na utupaji…
Sheria ya bima ya afya kwa wote kuanza kutumika kabla ya mwisho wa Aprili 2024
Na. WAF, DodomaNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne Mwaka 2024 kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo leo kwenye Bunge…
Mchengerwa atoa mil.40 kusaidia wananchi waliokumbwa na mafuriko Rufiji
Na Projestus Binamungu, JamhuriMedia, Rufiji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji mkoani Pwani Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametoa Sh.milioni 40 kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa…
TFS kuendelea kuwachukulia hatua wanajihusisha na ujangili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inaendelea kuwachukulia hatua wale wote watakaojihusisha na unajangili wa mazao ya misitu kwa kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa Sheria. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Rais Samia asaini miswada minne kuwa sheria za uchaguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameidhinisha miswada ya sheria minne ili iweze kuwa sheria. Akilitaraifu Bunge la 12 Mkutano wa 15 mjini Dodoma leo , Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema katika mkutano wa…