Month: April 2024
Biteko achokozwa tena, wezi nguzo za umeme wakamatwa, vigogo wawalindwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MWENYEKITI wa Kijiji cha Chikola Kata ya Mpwayungu Emanueli Mazengo, Machi 30, mwaka huu, saa saba usiku, aliwakamata wezi waliokata nguzo ya umeme wa masafa marefu kwa msumeno na kuisafirisha kwa Trekta Na T 870…
Sarafu yakwama siku sita kooni kwa mtoto
Mtoto wa miaka miwili ametolewa sarafu iliyokuwa imekwama kooni kwa muda wa siku sita katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akizungumza leo Aprili 3, 2024 Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo (ENT) wa BMH, Emmerenceana Mahulu, amesema…
NSSF yawatembelea wazee Kata ya Tumbi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wafanyakazi wanawake (staff) kutoka NSSF Mkoa wa Pwani wamewatembelea na kuwaona wazee wa kata ya Tumbi na kuwatakia heri ya mfungo wa Ramadhan. Pamoja na mambo mbalimbali wazee waliomba wawe wanakumbukwa mara kwa mara kwa…
Ajeruhiwa kwa mapanga akidaiwa kuwa ni Popobawa Kisarawe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mkazi wa kijiji cha Vikumburu Wilayani Kisarawe ,mkoani Pwani, Daud Juma, amejeruhiwa na mapanga katika sehemu mbalimbali za tumbo lake na kikundi cha vijana walioambatana na Mwenyekiti wa kijiji hicho Ramadhan Chaka wakidai anaingilia wanawake…
Mgonjwa aliyepandikizwa figo ya nguruwe atoka hospitali
Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka kwa nguruwe ameruhusiwa kutoka hospitalini. Mtu huyo mwenye umri wa miaka 62 aliruhusiwa kwenda nyumbani, wiki mbili baada ya upasuaji wa dharura katika Hospitali Kuu ya Massachusetts (MGH). Upandikizaji wa viungo kutoka…
Futari iliyoandaliwa na Biden yasusiwa
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhan umesusiwa, huku vikundi vya Waislamu vikisusia na kuandaa maandamano ya kupinga uungaji mkono wa Biden kwa kuzingirwa kwa Gaza na vita vya kikatili vya Israeli dhidi ya Gaza. Ikulu ya…