JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya bilioni 4 .04/- kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Mazingira Duniani(GEF) kupitia Programu ya Ruzuku Ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili…

DCEA yakamata dawa mpya za kulevya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), imekamata kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa za kulevya inayoitwa methylene dioxy pyrovalerone (MDPV), iliyokamatwa Dar es Salaam ikisafirishwa na raia wa Comoro…

Waziri Mchengerwa : Ma -RC, DC kikaangoni, mikopo ya vikundi

Na Projestus Binamungu, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema kiongozi yeyote katika mamlaka za serikali za mitaa atakayebainika kuunda kikundi hewa kwa lengo la kujifaidisha na fedha za…

TARURA yadhamiria kuimarisha mtandao wa barabara kwa asilimia 85

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ina lengo la kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika kwa asilimia 85 ili kuinua uchumi na kuwezesha huduma za kijamii kwa wananchi ifikapo mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa na…

Biteko : Watendajji wazembe TANESCO kuanza kuchukuliwa hatua kila mwezi

WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUANZA KUCHUKULIWA HATUA KILA MWEZI – DKT. BITEKO 📌Asisitiza Kituo cha Huduma kwa Wateja kuongeza ufanisi 📌Tathmini kufanyika kwa Mkataba wa Mtoa Huduma kwa wateja TANESCO 📌 Mameneja wa Mkoa TANESCO kupimwa kwa matokeo 📌TANESCO yatakiwa kujenga…