JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Serikali imepiga hatua kiuchumi,kidemokrasia na utawala bora

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano wake na Ujumbe kutoka Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC), ulioongozwa na Bw. Nilan Fernando, jijini Dodoma, ambapo walijadiliana maeneo mbalimbali ya ushirikiano…

Benki Kuu yatangaza kupanda kwa riba mpya kutoka asilimia 5.5 hadi 6

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Saalam Benki Kuu ya Tanzania (BOT), kupitia kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza kupanda kwa Riba mpya ya Benki Kuu yaani (Central Bank Rate-CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya…

Wajasiliamali wadogo wazalishe bidhaa zenye ubora kuendana na ushindani soko la ndani na nje : Mchatta

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KATIBU Tawala Mkoani Pwani Rashidi Mchatta ,ametoa rai kwa wajasiriamali wadogo kuzingatia uzalishaji wa bidhaa kitaalam na zenye ubora ili kukuza biashara zao na kuinua uchumi wa mkoa huo. Mchatta ameyasema hayo wakati akikabidhi vyeti…

Benki ya NMB yafuturisha wabunge na watoto wenye mahitaji maalum Dodoma

Tunapoendelea na mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imepata nafasi ya kujumuika na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Dodoma kupata futari ya pamoja. Mgeni Rasmi katika hafla hii alikua…

LHRC yaainisha mambo yaliyochwa kwenye sheria ya uchaguzi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimebaini kuwepo kwa mambo saba waliyoyapendekeza yaondolewe kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sheria ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi 2024…