JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Dk Mpango afuturisha nakundi maalum Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa futari kwa makundi maalum Zanzibar wakiwemo Wazee wa Kituo cha Wazee Sebleni na Watoto kutoka kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini Unguja Zanzibar. Akizungumza mara baada…

Simba, Yanga zatupwa nje Ligi ya Mabigwa Afrika

Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, Afrika Kusini. Katika mchezo…

Serikali yataka wanafunzi wasio na michango kuendelea na masomo

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaelekeza walimu wa shule za msingi nchini kutowarudisha nyumbani wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia michango mbalimbali na badala yake waachwe kuendelea na masomo. Hayo yameelezwa leo Aprili 5,2024 Jijini…

Tanzania yapokea bilioni 45 kuboresha uzazi wa mpango

Na WAF DSM Serikali ya Uingereza imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania kwa kutoa Bilioni 45 kusaidia kufanikisha huduma za uzazi wa mpango nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, wakati wa hafla ya kumpokea Waziri…

Waziri Mkuu akiwa bungeni katika picha mbalimbali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…

Serikaki kuongeza vituo vinne vinavyotoa mionzi kwa wagonjwa saratani

Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na taratibu za uwekezaji kwa kuongeza vituo vingine 4 kwa kujenga majengo na kuviwezesha vifaa vitakavyotumika kutibu wagonjwa wa Saratani kwa njia ya mionzi. Waziri Ummy amesema hayo leo Aprili…