JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Rais Dk Mwinyi aongoza kisomo cha Hitma kumuombea hayati Sheikh Abeid Amani Karume Zanzibar

WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar…

Timu ya madaktari bingwa watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMeda, Katavi Timu ya madaktari bingwa wabobezi wa upasuaji kutoka nchini Marekani imewasili mkoani Katavi kwa lengo la kutoa huduma za upasuaji bure kwa wagonjwa wanaotakiwa kufanyiwa upasuaji wa magonjwa mbalimbali. Timu hiyo ya wataalamu 18 wakiwemo…

Dk. Rweikiza atoa futari kwa misikiti 113 Wilaya ya Bukoba Vijijini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bukoba MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza, ametoa chakula kwaajili ya fukari kwa waumini wa dini ya kiislamu kwa Misikiti 113 iliyoko Wilaya ya Bukoba Mkoa wa Kagera. Chakula hicho kilikabidhiwa mwishoni…

Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle…

Dk Nchimbi aweka msimamo diplomasia ya uchumi na siasa kunufaisha Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake, Ndugu Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kutoa uongozi na kusimamia ili kuhakikisha diplomasia ya uchumi na siasa inaendelea kuiwezesha Tanzania…