JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Shambulio la kombora DRC lawaua wanajeshi watatu wa Tanzania

Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wanajeshi hao wanahudumu katika kikosi cha kutunza amani cha kijeshi cha Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Wanajeshi wengine watatu wanasemekana kujeruhiwa. Taarifa…

WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Shirika la afya duniani limesema zaidi ya watu 3000 hufariki kwa homa ya…

Basi lililojaa abiria lasombwa na maji yenye mafuriko

Watoa huduma za dharura wamekuwa wakiwaokoa abiria waliokuwa wamenasa ndani ya basi lililosombwa na mafuriko kwenye barabara kuu yenye shughuli nyingi kaskazini mwa Kenya. Basi hilo, likiwa na takribani abiria 50, lilikuwa likielekea mji mkuu, Nairobi, kutoka kaskazini mwa kaunti…

MSD yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

Bohari ya Dawa leo imekabidhi bidhaa za afya mbalimbali kwa waathrika wa mafuriko Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Bidhaa hizo zimekabidhiwa kituo cha Afya Mohoro kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambazo ni pamoja na Dawa, za kuzuia na kutibu malaria,…

DC Okash aibana TANESCO Bagamoyo, atoa maelekezo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KATIKA kukabiliana na changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara, Serikali Wilayani Bagamoyo, imelielekeza uongozi wa shirika la umeme Tanesco Wilayani humo kuwa na siku moja ya kukata umeme kwa ajili ya matengenezo yasiyo ya…