JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

‘Tuendelee kuyaishi tuliyojifunza mwezi Mtukufu wa Ramadhani’

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…

Waziri Mkuu ashiriki sala la Eid Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…

PPRA yaweka kipaumbele kwenye utafiti kubaini changamoto za manunuzi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imeweka kipaumbele katika utafiti wenye lengo la kubaini changamoto zinazoikabili sekta ya ununuzi na kutafuta suluhisho la namna ya kukabiliana nazo. Hayo yameelezwa leo Aprili 9,2024 Jijini…

Waziri wa Ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa Tanzania DRC

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, kufuatia vifo vya Wanajeshi watatu (3) na wengine watatu (3) kujeruhiwa…

Waziri Mkuu mgeni rasmi ufunguzi wa MAKISATU Tanga

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Wizara hiyo imefungua dirisha la usajili wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) zitakazopelekwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na…

Watuhumiwa 30 wakamatwa wakighushi nyaraka za NSSF ili wajipatie fedha

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na maofisa wa mifumo ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kugushi nyaraka mbalimbali zinazohusiana…