JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Serikali yatoa bil.1.5/- urejeshaji miundombinu ya barabara Mwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza ili kuanza…

Dk Mwinyi ajumuika na wananchi katika maziko ya mke wa waziri wa kilimo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa  Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis…

TARURA : Paipu kalavati sambazwa kurudisha mawasiliano ya barabara Kilimanjaro

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis…

Rais Dk Mwinyi ateta na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein AliMwinyi ameihakikishia Serikali ya Saudi Arabia ushirikiano mzuri uliopo naSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hasa kwenye miradi mbalimbali yaMaendeleo.Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmad Okeish na ujumbe…