JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Mpimbwe wampongeza Naibu Waziri Pinda

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amepongezwa kwa kuwakutanisha wananchi wa jimbo lake kusheherekea nao Siku Kuu ya…

Polisi kutoka nchi 14 kufanya mazoezi ya pamoja kukabiliana na uhalifu

Na Mwandishi, Jeshi la Polisi, Kilimanjaro Jeshi la Polisi Nchini, limesema linatalajia kuwa, mwenyeji wa zoezi la mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise – FTX) mwaka 2024 litakalojumuisha nchi 14 wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda…

Twaha Kiduku amchakaza Muhindi kwa TKO

Na Isri Mohamed Bondia Mtanzania Twaha Kiduku Amefanikiwa Kumchakaza Mpinzani wake kutoka India, Harpreet Singh kwa ‘TKO’ raundi ya tano. Ushindi huo wa Kiduku umepatikana baada ya Singh kumuomba refa amalize pambano bila kuelezea nini hasa kimemkuta. Baada ya kumaliza…

Kadio, Nyenza wang’ara mashindano ya gofu kumuenzi Lina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro WACHEZAJI wa kulipwa wa gofu kutoka Dar es Salaam, Bryson Nyenza na Hassan Kadio wameibuka vinara wa raundi 18 za kwanza za mashindano ya gofu ya kumuenzi mchezaji wa zamani timu ya wanawake Lina, baada…

Jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi

Mahakama ya Wilaya ya Songwe mkoani Songwe tarehe 08 April 2024 imemhukumu mshtakiwa Shomari Hamis kwajina maarufu Kijasho Ras (28) Mchimbaji wa Madini, mkazi wa Patamela kata ya Saza, kutumikia adhabu ya Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la…