JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Rais Mwinyi azindua sherehe ya miaka 60 ya muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni na huduma za jamii yameipatia nchi heshima kubwa kwenye…

Mwenge kuzindua miradi ya bilioni 5/- Muheza

Na Oscar Assenga, JamhuriMedia, Muheza Mwenge wa Uhuru Kitaifa unatarajiwa kukimbizwa wilayani Muheza Aprili 15 mwaka huu ukitokea wilaya ya Tanga na utazindua miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 4 ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Bunge Marathon yafana Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Acksonamezindua mbio za Bunge Marathon leo Aprili 13,2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma lengo ni kukusanya fedha…

Makala asikiliza kero kisayansi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesikiliza kero za wananchi wa mji wa Mpanda kwa staili ya aina yake. Makala ambaye anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi…

Jamii iache kudhulumu mali za yatima, itawaadhibu kesho kiama – Sheikh Mtupa

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Bagamoyo SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Hamis Mtupa ametoa rai kwa watu wanaodhulumu mali za yatima ili kujinufaisha na kuwaacha watoto hao wakitangatanga ,waache dhuluma hiyo kwani ni sawa na kula moto utakaowachoma kesho kiama. Aidha…

Magwiji 27 wafuzu raundi ya tatu mashindano ya kumuenzi Lina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Magwiji 27, wakiwemo wacheza gofu ya ridhaa na kulipwa wamefuzu mchujo wa kucheza raundi ya tatu ya michuano maalum ya gofu kumuenzi mama Lina Nkya baada ya kufanya vizuri katika raundi mbili za awali katika…