Month: April 2024
TEMESA inalipa milioni tano Azam Marine kila siku
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwa kuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri…
Kariakoo Derby ni ‘ Wazee Day’ Jumamosi
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba Jumamosi hii, Afisa habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe ametangaza mchezo huo kuwa ni maalum kwa Wazee wote wa Yanga. Akizungumza na wanahabari leo,…
TAKUKURU, ZAECA kuimarisha ushirikiano mapambano dhidi ya rushwa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, kwa kuzingatia awamu zote zilizopita na hii inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali inaendelea kutekeleza jitihada za kuzuia na kupambana na rushwa ili wananchi waweze kupata huduma…
TEHAMA iwe kichocheo kwenye tathmini na ufuatiliaji wa takwimu – Dk Jingu
Na WAF, Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema Matumizi na Teknojia ya habari iwe ni kichocheo cha kufanya ufuatiliaji na tathmini ili kupata takwimu sahihi zitakazo changia kufanya maamuzi sahihi wakati wa kuandaa mipango ya…
Ripoti ya CAG yabaini madudu TTCL, ATCL na TRC
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2022/2023 imeonesha mashirika ya umma 34 yaliripotihasara au nakisi kwa miaka miwili mfululizo ambapo mashirika haya yalijumuisha mashirika yanayojiendesha kibiashara 11 na mashirika yasiyo…
‘Uharibifu wa barabara Dar uliotokana na mvua Serikali yajipanga’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mvua nyingi zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa ambayo imesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara, Serikali haijalala iko imara hivi karibuni…