JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Majaliwa akagua athari za mafuriko Mlimba Morogoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa…

Isanzu, Kadio wang’ara fainali michuano ya gofu kumuenzi Lina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mcheza gofu wa ridhaa kutoka klabu ya TPC mkoani Kilimanjaro, Ally Isanzu na mcheza gofu wa kulipwa kutoka Dar es Salaam, Hassan Kadio wameibuka vinara wa raundi ya pili ya michuano ya gofu ya Lina…

Miaka 60 ya Muungano, Wizara ya Mambo ya ndani yajivunia kubadilisha mfumo wa ujenzi nyumba za askari

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Ndani ya kipindi cha miaka 60 ya Muungano ,Serikali imefanya uboreshaji mkubwa wa Ofisi na Makazi ya askari wa Vyombo vya Usalama vya Muungano na kubadilisha mfumo wa ujenzi wa nyumba za askari wa vyeo mbalimbali…

Tuliopewa dhamana kusimamia sekta ya ardhi tuwatendee haki wananchi – Waziri Slaa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi, Jerry Slaa amewataka watumishi wa ardhi nchini, kuwa waadilifu na hofu ya Mungu kwa kutenda haki wakati wanaposuluhisha migogoro ya ardhi. Slaa ameyasema hayo mapema leo Aprili 15, 2024, wakati akifungua kliniki…

TAWA yaweka kambi Rufiji kutoa elimu namna ya kuepukana na madhara ya mamba na viboko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Timu ya maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa…